usiandike barua huyo anataka kukufukuza kazi sasa anashindwa hana sababu ya kukufukuza maana unaweza mshtaki, sasa anataka ionekane umeaacha kazi kwa hiari yako. Uwe makini naye huyo atakutafutia sababu na ukiingia kwenye 18 zake tu umeumia.
pole sana na kwa yaliyokukuta.ila mwambie tu kama anataka akufukuze akupe barua ya kuacha kazi ila usiandike barua ya kuacha kazi maana utapoteza haki zako.