DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kitendo cha kusema halipwi na Yanga kinadhihirisha usahihi wa maneno ya mzee Magoma kwamba Yanga inaendeshwa na upande mmoja tu wa mdhamini, lakini upande wa wanachama hauna mwakilishiMaisha yanaenda kasi sana.
Rais wa Yanga ambaye hadi majuzi alikuwa ni mwajiriwa wa GSM, aliulizwa kama bado anaendelea na ajira yake pale GSM.
Hajitolei, analipwa na mdhamini ambaye Hersi anasimamia maslahi yake pale Yanga, na ndiko alikoajiriwa. Mzee Magoma yupo sahihi kusema wanachama hawana msimamizi wa maslahi ya klabu yaoKumbe mtu anajitolea tu Sasa povu la akina mzee Magoma la nini
HahahahahaTaratibu Mzee Magoma ataanza kueleweka...
Yeye yupo kwenye mfumo wa mishahara ya wafanyakazi wa tajiri Gharib.Kitendo cha kusema halipwi na Yanga kinadhihirisha usahihi wa maneno ya mzee Magoma kwamba Yanga inaendeshwa na upande mmoja tu wa mdhamini, lakini upande wa wanachama hauna mwakilishi
View attachment 3077119
Ila mara nyingi Rais / Mwenyekiti au VP / Makamu Mwenyekiti huwa hawanaga mshahara..ila wanakua na Posho ,hapo kwenye Posho hapo ndio ile Posho Mlima, kingine Mtu kama Hersi ,ana 10% nyingi tu katika sajiri za wachezajiHajitolei, analipwa na mdhamini ambaye Hersi anasimamia maslahi yake pale Yanga, na ndiko alikoajiriwa. Mzee Magoma yupo sahihi kusema wanachama hawana msimamizi wa maslahi ya klabu yao
Hahahahaha, hata yeye hana ana posho tu za mechi ,kikao na safariNaona Makolo ndio wana uchungu kuliko wenye timu yao, tuambieni mshahara wa Mangungu kwanza ili tuone huo uchungu wenu
Maisha yanaenda kasi sana.
Rais wa Yanga ambaye hadi majuzi alikuwa ni mwajiriwa wa GSM, aliulizwa kama bado anaendelea na ajira yake pale GSM.
Injinia Hersi akatoa ufafanuzi usio na shaka yoyote kuwa yeye hapokei hata shilingi 100 kutoka pale Deportivo la Utopolo. Akasema yeye status yake ni sawa na kina Mzee Mkuchika, Fatma Karume na Zakayo Mwigulu. Akasema wote hawa vigogo kama alivyo yeye ana mishe zake zinazomuweka mjini, anaisaidia Yanga kutokana tu na mapenzi yake.
Na vyura wote wakashangilia kwa uzalendo wake uliotukuka. Wakaanza kuimba:
🎵🎵
Toka enzi za Fred Felix Minziro,
Hakujawahi kuwa na chura,
Anayevuja damu ya kijani na njano,
Kama weweee,
Rais wetu wa maisha,
Injinia Hersi Said,
GSM!
GSM!
GSM!
🎵🎵
Kuhusu kama bado ameajiriwa GSM, hilo hatujui ila tangu lini tajiri anaajiriwa? Tajiri ana biashara zake bwana.
Kama utaratibu ni wa posho, basi bado hakutakiwa kusema "Sipati hata Mia Yanga"Ila mara nyingi Rais / Mwenyekiti au VP / Makamu Mwenyekiti huwa hawanaga mshahara..ila wanakua na Posho ,hapo kwenye Posho hapo ndio ile Posho Mlima, kingine Mtu kama Hersi ,ana 10% nyingi tu katika sajiri za wachezaji
Naeza kubali kuwa muundo wa Yanga kwa nafasi yake na makamu hakuna mshahara il wana posho ndefu ,
Najua kuna timu moja, Mwenyekiti na Makamu wake kila Mechi ya ligi kuu na FA ,wanapewa Posho karibu 200K
na ndio moja ya hoja za MagomaYeye yupo kwenye mfumo wa mishahara ya wafanyakazi wa tajiri Gharib.
Hahahahaha, mia anapata kupitia posho ,labda alimaanisha mia km mshahara, ila akisema hapati hata posho atakua muongo tena muongo kweli kweliKama utaratibu ni wa posho, basi bado hakutakiwa kusema "Sipati hata Mia Yanga"
View attachment 3077681