Tajiri Nambari Moja Duniani Atua Arusha Kimyakimya

anatusaidia nini watanzania? ni kweli kwamba atachangia kuingiza fedha za kigeni kwa ajili ya utalii. lakini kwa bahati mbaya mbuga ya serengeti iko uarabuni
 
nani amekudanganya kuwa huyo mhindi ndio tajir namba 1.
 
Ina maana jina langu halipo hapo. Haiwezekani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…