Tajiri wa Mitandaoni wa watanzania

Mtaniambia nini masikini nyinyi mbwa takataka
 
Mshamba tu huyo. Wenye hela hawaongei sana wanaacha pesa iongee.
 
Hivi ni kweli Bora ukose mali,upate akiri.
 
Tuache wivu, Mwacheni kijana atese!
 
Kutojua kazi au biashara ya mtu haina maana kwamba hafanyi shughuli yoyote.
Punguzeni wivu nyie waswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…