Tupe namba ya simu tutakufikiaMi nataka kuuza dukani... Nipeni bei ya jumla
Bei zetu na size zakeKampuni ya kuuza diapers Smart Baby na pedi chapa Cathy tunakaribisha wauzaji kwa kamisheni, hakuna mshahara ila unavyoleta mauzo yakishalipiwa na mteja unapata kamisheni yako papo hapo. Maana yake sisi tuna mtaji wewe una nguvu na akili pamoja tunaweza kusonga mbele. Sare zitatolewa bure. Wasiliana nasi; Mr Kelvin 0653969969View attachment 1081599
Tupigie tukuelekezeM huwa nanunua kwa namba, sasa hzo size sizielewi
Tupo tayari wasiliana nasi namba hiyo hapo juu kwenye tangazoMe nipo Dodoma naomba niwe wakala wenu nisambaze Dodoma na singida.
Size na Kilo zakeTupigie tukuelekeze