Kipindi cha televisheni cha BBC Newsnight kimepata ushahidi ambao unathibitisha kwamba kampuni ya Trafigura ilifahamu vyema kwamba uchafu ilioutupa nchini Ivory Coast mwaka 2006 ulikuwa na sumu kali....
Ivory Coast wakati huo kulikuwa na vaccum ya uongozi. Walikuwa wanatwangana wenyewe kwa wenyewe - na jamaa wakatumia mwanya huo kumwaga mataka yenye sumu.