Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Ikumbuke, Mdau wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Kibaha kuondoa uchafu uliokuwa umezagaa eneo hilo kiasi cha kusababisha kero ya harufu kwa Wakazi wa hapo na wa pita njia, pia ilikuwa ni hatarishi kwa afya za Watu.
Kusoma Hoja ya Mdau bofya hapa ~ Taka zinazozagaa Maili Moja - Kibaha ni hatari kwa afya, Mamlaka zimelala?
Mbali na taka zilizokuwa kuondolewa eneo hilo pia uchafu uliosalia umekuwa ukichomwa moto ili kuupunguza kabla ya kuondolewa.