Taka zinazozagaa Maili Moja - Kibaha ni hatari kwa afya, Mamlaka zimelala?

Taka zinazozagaa Maili Moja - Kibaha ni hatari kwa afya, Mamlaka zimelala?

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Hivi ndivyo hali ilivyo mitaa ya Maili Moja, Kibaha Mkoani Pwani, sehemu ya kutupia taka imegeuka kuwa taka pia.

Kicha ya kuwa kuna chombo maalum cha kuweka taka lakini hakitumiki inavyotakiwa na n ahata kama taka zote zilizosambaa chini zingewekwa kwenye pipa hilo bado zisingetosha.

Nasema hivyo kwa kuwa taka ni nyingi zimesambaa chini huku pembeni yake kukiwa na Wafanyabiashara wengi wa bidhaa tofauti tofauti wakiwemo wa chakula.

Mamlaka ya Maili Moja inaona hiki kinachoendelea hapa au wamelala? Wazoaji taka wako wapi? Kibaya zaidi taka zipo barabarani lakini hakuna hatua zinazochukuliwa.
photo_2024-02-12_08-36-46 (2).jpg

photo_2024-02-12_08-36-45.jpg

photo_2024-02-12_08-36-46.jpg

photo_2024-02-12_08-36-43.jpg

Hatua zimechukuliwa, soma hapa ~ Taka zilizosambaa eneo la Kibaha Maili Moja Mkoa wa Pwani zaondolewa, usafi wafanyika
 
Takataka hizo bado ni vumilivu, endapo zitaleta kero tutakarabati gari ili tuziondoe.
 
Back
Top Bottom