Takasa ngozi kwa maziwa mtindi

Takasa ngozi kwa maziwa mtindi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532



Ulishawahi kukaa ukajiuliza mbona kuna baadhi ya watu wana ngozi nzuri laini na soft? lakini kwako ni tofauti? ukawaza labda wanatumia vitu vya bei ghali ambavyo wewe huwezi ku – afford, au umesha hangaika na ma – cosmetics lakini bado ngozi yako haikubali kukaa vizuri?

Jaribu hii Home made Yogurt Cleansing ,Tumia mtindi ambao hauna mafuta mengi au hauna kabisa (low fat), Paka mtindi wako usoni fanya kama una sugua kwa muda mchache halafu uache kwa dakika 15, fanya hivi mara mbili kila siku na utapata matokeo kwa muda mchache.

Hii husaidia kuondoa cell za ngozi zilizokufa (dead skin cells) na protein tighten the pore.
 
Asante ndugu, lakini je, hii inafaa kwa wenye ngozi ya mafuta???
 
Nikipaka usoni pekee na sehemu zingine zitakuwa soft ?au uso utahamisha usoftness Kwa wi-fi

Don't mind me
 
Back
Top Bottom