Mifuko ya plastiki ya taka ipo, tatizo sijui kwanini huku kwetu kila kitu ni anasa kiasi kwamba haiuzwi kila sehemu, inatakiwa iuzwe hadi kwa mangi, si ndio hiyo hiyo inatumika sehemu kama hospital au maabara.Aliyeondoa mifuko ya plastiki mimi nadhani kuna mahali hakutumia akili kidogo,hivi kwa mtu anayeishi mahali kama Kariakoo au Upanga magorofani,uchafu unaukusanya kwenye chombo gani ili usitoe harufu ukisubiri hilo gari?mfano,gari linapita ijumaa huo uchafu unaukusanya kwenye nini kitakachozuia harufu isitoke mpaka siku gari litakapopita!wangeruhusu aina flani ya mifuko ya plasitic mikubwa itengenezwe kwa ajili ya kuhifadhi uchafu ili iwe rahisi kuhifadhi taka,kwani hata ikitokea gari limekaa siku tano bila kupita kunakuwa hakuna usumbufu wa harufu au kuchuruzika kwa vitu vyenye majimaji......
Baadhi ya wananchi wamekuwa wakilalamika ratiba kutofuatwa na wahusika kutowapatia taarifa ya mabadiliko ya ratiba hizo kwa wakati
Hali hiyo inafanya takataka ziendelee kukaa kwa muda mrefu bila kuondolewa na kufanya Mitaa kujaa uchafu ambao Wananchi wanakosa namna bora na salama ya kuuondoa
Kutokuwepo kwa ratiba inayozingatiwa huweza kuleta athari mbalimbali kwa Jamii ikiwemo wananchi kutupa taka ovyo katika maeneo yasiyo rasmi na kuchafua mazingira
Mtoni Kwa Kindande tumasubir Giza liingie tukatupe taka makaburini
Baadhi ya wananchi wamekuwa wakilalamika ratiba kutofuatwa na wahusika kutowapatia taarifa ya mabadiliko ya ratiba hizo kwa wakati
Hali hiyo inafanya takataka ziendelee kukaa kwa muda mrefu bila kuondolewa na kufanya Mitaa kujaa uchafu ambao Wananchi wanakosa namna bora na salama ya kuuondoa
Kutokuwepo kwa ratiba inayozingatiwa huweza kuleta athari mbalimbali kwa Jamii ikiwemo wananchi kutupa taka ovyo katika maeneo yasiyo rasmi na kuchafua mazingira
Uko sahihi iltakiwa ipatikane kwa urahisi...Mifuko ya plastiki ya taka ipo, tatizo sijui kwanini huku kwetu kila kitu ni anasa kiasi kwamba haiuzwi kila sehemu, inatakiwa iuzwe hadi kwa mangi, si ndio hiyo hiyo inatumika sehemu kama hospital au maabara.
Ipo kwenye supermarkets, sad si kila mtu ana access nayo.