Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni upuuzi wa hali ya juu. Hiyo amani wanayoisheherekea Kenya leo na hata kufikia kupiga kura za maoni kwa amani huko ni kwa juhudi za Jakaya Kikwete.
Watanzania mlishazoea kucheka kwa mambo ya uongo. Siyo kosa lenu. Mlijengwa muwe na hali hii tokea enzi za Chakubanga na Polo.
Old fashioned you! amani ya kenya ni kwa sababu ya Kikwete, amani ya zimbabwe na S.africa ni kwa sababu ya nyerere........then what?!! what do we have?Ni upuuzi wa hali ya juu. Hiyo amani wanayoisheherekea Kenya leo na hata kufikia kupiga kura za maoni kwa amani huko ni kwa juhudi za Jakaya Kikwete.
Watanzania mlishazoea kucheka kwa mambo ya uongo. Siyo kosa lenu. Mlijengwa muwe na hali hii tokea enzi za Chakubanga na Polo.