Hata kabla tunapenda kujenga kwa wenzetu, kwetu tunasahau. huku tukijisifia kuwa tunadumisha amani na kukomboa afrika.
Sikushangai ndugu, kibonzo ni poa kinadepict hali halisi ya mtanzania:
1. Kama ni katika mambo ya Uchaguzi- Hana elimu ya uraia
2.Kama ni Kushughulikia matatizo- Mpaka yatokee ndipo ashituke, baada ya kupita kamuda ANASAHAU
3.kama ni Michezo- kichwa cha mwendawazimu, mabondia mpaka wafe na njaa ndipo tushituke, hata tukichanga Sh. 1 tungepata milion 40....
4. Kama ni Sherehe- kila harusi mamilioni
5. etc
Mwenye macho haambiwi tazama ....