Baada ya kuwepo na thread nyingi znazozungumzia usafiri wa ndege, leo nikataman kujua yafuatayo.....
1. Ni mechanism gani inatumika ndege kupaa na kutua, zaman mwalim wangu aliwahi niambia ili ndege ipae inahitaji kukimbia sana ili kupata kasi ya kupasua anga, ndo maana run way inakuwa na urefu kuanzia km 3 mpka tano na lazima iwe nyoofu, vile vile na kutua inahitaji kujipunguza taratibu.....tatzo limekuja now days ndege tena kubwa mfano jumbo jet km KLM n.k haziitaji runway ndefu sana kutua au kupaa......
Kingine kwann ndege istue kama ambvo embe linatua yaan kuibalance ikashuka taratibu na kutulia.....mwenye kujua
2. Kwanini madrisha ya ndege yako vile yalivo kwa maana ya kutofunguliwa na nn maana ya vile vitundu vidogo kwnye hayo madirishaa.....
3. Kuna ulazima gani watu walioko kwenye "cabin" kuwa idle wakati wa ndege kupaa na kutua, kwani kuna wakati abiria wanaambiwa hkn kufunguw mkanda kitembea tembea mpk ndege itulie.......
4. Kwann kuna kukaguana sana kwenye ndege na wakt mwngn unakuta ni local route kama yalivo mabasi, kwamba walioko kwnye mabasi hawaitaji usalama km walioko kwenye ndege......
5. Hili sasa ndo uwa silielewi kwanini wale wasafiri wa ndege wengi wao wanakuwaga kama hawako comfortable, wengi ukiwachunguza full stress,hakuna kupga stori kama kwenye Isamilo au ngorika express, sijui ule wakati wa turbulence hali uwa inakuaje kama sio vilio na kusaga meno......
Ni hayo tu kwa leo.....mwenye kujua.....