Huo uongo nimesikiliza lipind mwanzo mwsho hakukuwa na mahojiano hayo.msiyudanganye jaman hata kwetu tv zipo .looooooh tafuten mengine sio ya watu
Utadhani anaongelea jambo zuri huyu mheshimiwa nae sijui kala maharage ya wapiNaskia anagombea ubunge labda wakati wa kutangaza nia atagusia tena hiyo mimba
Huo uongo nimesikiliza lipind mwanzo mwsho hakukuwa na mahojiano hayo.msiyudanganye jaman hata kwetu tv zipo .looooooh tafuten mengine sio ya watu
Mwenyewe nilibaki namshangaa,yani anaongelea mauaji tena kwa kujiamini. Au kutoa mimba sio kosa kwa sheria za Tanzania.Utadhani anaongelea jambo zuri huyu mheshimiwa nae sijui kala maharage ya wapi
Naskia anagombea ubunge labda wakati wa kutangaza nia atagusia tena hiyo mimba
Huo uongo nimesikiliza lipind mwanzo mwsho hakukuwa na mahojiano hayo.msiyudanganye jaman hata kwetu tv zipo .looooooh tafuten mengine sio ya watu
Juu ya mimba hakuna sheria ya kuua Tanzania? Mbona anaiongelea sana, kuna watafuta mimba hawapati yeye anaongelea kila mara kama ni kitu kizuri alichotenda. Inaudhi
Ndio wajue jinsi huyu mwanamke alivyo mpuuuzi....Huyu hafai kuigwa na Jamii yetu ya sasa,....Ni mfano mbaya zaidi kuwahi kutokea.
Utoaji mimba ni kosa kwa sheria za Tanzania...Eti "Mbunge mtarajiwa" anajivunia kuwa alitoa mimba kisa hakuwa tayari....
Tunaposema huyu mtu hana akili hatukosei.......na wapigakampeni wake wote akili zao zinafanana na zake
Sasa ndugu yangu Heaven on Earth nilikwambia huyu katoa mimba saba....sasa unaone eeeh? kaanza kukiri mwenyewe