Take One: Wema Sepetu akiri kutoa Mimba

Part IV: Wema Sepetu Interview kuhusu Mtoto na Diamond, ujauzito wa Zari, alivyotoa mimba
[video]https://youtu.be/iXbY1jhuJ4g[/video]

Part III: Wema Sepetu alipoulizwa boyfriend wake wa sasa, ile BMW, mapenzi ya kuachana, CK na mengine
[video]https://youtu.be/0YXs-Z7sAcc[/video]

Part II: Wema Sepetu Interview on TAKE ONE kuhusu Kajala na msamaha
[video]https://youtu.be/W29kzsCLHwM[/video]

Part I: Wema Sepetu aeleza kwanini hatomsamehe Kajala - kwenye TAKE ONE
[video]https://youtu.be/ZBJm913D5Hk[/video]
 
Wema anahitaji "brain activator".........no wonder anaishi kwa kudhani anafaa kuwa kiongozi.

Na ajue huyo kiumbe huko popote alipo naye angetamani kuimba "nani kama mama"
 
wadau kuna video, wema anasema kuwa anatamani sana tena sana kuzaa na legendary wa afro-pop,mtaalam nasib abdul(profesa diamond platnumz).mwenye utaalam atuunganishie hapa wale wazee wa tembo waione. SOURCE: TEAMTZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…