Unambiwa taki taki imeweka record ya kutazamwa Mara nyingi kwa Massa 24 duniani.Ndio umeujua leo braza..
Nenda kaangalie video za huyo dogo Ozuna huwa zina viewers kibao.
Nafahamu nyimbo kama 3 za Ozuna zimefikisha billion plus viewers
Sent using Jamii Forums mobile app