Takriban kila baada ya miaka 8-12 nabadilisha miwani (lensi)

Takriban kila baada ya miaka 8-12 nabadilisha miwani (lensi)

eedoh05

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
632
Reaction score
235
Natumia miwani tangu 1985. Sioni mbali. Tatizo kila baada ya miaka 7-10 nabadilisha miwani kwa kutumia lensi kubwa zaidi kiuwezo. nimechoka kuvaa miwani. Sasa natumia 'double focus" kwa miaka 8. Nimeaza kuona giza kwenye maandishi nisomapo au niwapo mbele ya laptop.

NIFANYEJE, NIMECHOKA.
 
Kula carrot na mboga za majani kwa wingi.

Onana na madaktari wa macho.
 
Kwa umri huo bado unataka kusoma vitu vilivyo mbali?? unasomea mabango au nini?
kama unaweza kuona karibu hamna shida usiendelee kuharibu macho yako maana wenye miwani wapo kibiashara zaidi
 
Umri wangu ni wa miaka 44. Sisomi mabango,nasoma magazeti, vitabu, nafanya research mbali mbali. Bila miwani nikisimama hata aridhi siioni vema.
 
pole mkuu I think hata kidudu cha mkeo huwa hukioni! But jitahidi kula karoti tatu kila siku.
 
Back
Top Bottom