Natumia miwani tangu 1985. Sioni mbali. Tatizo kila baada ya miaka 7-10 nabadilisha miwani kwa kutumia lensi kubwa zaidi kiuwezo. nimechoka kuvaa miwani. Sasa natumia 'double focus" kwa miaka 8. Nimeaza kuona giza kwenye maandishi nisomapo au niwapo mbele ya laptop.
Kwa umri huo bado unataka kusoma vitu vilivyo mbali?? unasomea mabango au nini?
kama unaweza kuona karibu hamna shida usiendelee kuharibu macho yako maana wenye miwani wapo kibiashara zaidi