joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 Jun 25, 2020 #1 Wakimbizi Wateseka Turkana Wakimbizi wa ndani walalamika kuwa nyumba zao zinaporomoka Kambi ya wakimbizi wa ndani eneo la Lokichar haina vyoo. ====== MY TAKE: Hivi kwanini wakenya wanakasirika nchi yao kuwekwa kundi la "Failed state?"
Wakimbizi Wateseka Turkana Wakimbizi wa ndani walalamika kuwa nyumba zao zinaporomoka Kambi ya wakimbizi wa ndani eneo la Lokichar haina vyoo. ====== MY TAKE: Hivi kwanini wakenya wanakasirika nchi yao kuwekwa kundi la "Failed state?"
Girl named Tom grande JF-Expert Member Joined May 16, 2020 Posts 292 Reaction score 225 Jun 26, 2020 #2 Yaitwa corruption ,, nafikiri Kenya ni moja ya nchi zilizoathirika na ufisadi Sana😩