Takriban watu 3 wanasadikiwa kufa baada ya gari lao kuteleza kutoka kwenye kivuko na kuzama baharini

Takriban watu 3 wanasadikiwa kufa baada ya gari lao kuteleza kutoka kwenye kivuko na kuzama baharini

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Three people among them an infant and two women died on Sunday evening following a ferry accident in Mombasa involving a saloon car. The car slid off the ferry into the Indian Ocean.

According to the Kenya Ferry Services, the MV harambee ferry, which had the ill fated vehicle on board, was moving from the mainland to the island at about 6.15pm.

In a statement issued on Sunday evening, the Kenya Ferry Services said the driver of the car reversed plunging into the ocean midstream.

The Kenya Ferry Services statement further noted that the cause of the accident could not be immediately established.

Despite reassurances that search and rescue efforts were underway, neither the wreckage of the car nor the three occupants had been retrieved Sunday night, with officials citing high darkness in the area.
033A20B6-7D12-41E7-9A87-28F0A763082F.jpeg



UPDATE
A mother and her child who drowned in their car at the Likoni Ferry channel have been identified.

Mariam Kigenda, 35, and her four-year-old daughter died after their car slid from the rear of MV Harambee just before it docked on the Island side.

The minor was a student at MM Shah, with the school authorities confirming they had lost one of them, through a text sent to parents.

On Monday, Mariam's husband and other family members camped at the ferry early in the morning to monitor rescue operations.
But by the time of going to the press, police were still waiting for Kenya Navy rescue services and other private divers.

The Star learned that the Kenya Ferry top brass were holed up in an emergency meeting over the incident.

Likoni OCPD Benjamin Rotich said that the vehicle lost breaks and reversed just before the ferry docked.

The car, a Toyota ISIS registration number KCB 289C was onboard MV Harambee and was plying to the Island side.

He said that ferry officials attempted to throw out rescue savers near the car, but the two were trapped inside the car and could not access them.
 
Mie nikadhani ni Kigamboni au Ferry / Magogoni kumbe ni Mombasa Kenya
Huu uandishi huu una ukakakasi kila mara
Mother and Daughter - Beautiful ladies!
May your souls RIP
 
Poleni wakenya,
Huku kwetu hairuhusiwi abiria kukaa ndani ya gari, gari likiwa ndani ya kivuko.
 
Watu tukaruka moyo kuzani kuwa ni kigongo ferry au ilagala.
Kumbe Mombasa.jitaidini kuwa mnayaandika kwenye kichwa cha habari
 
Poleni wakenya,
Huku kwetu hairuhusiwi abiria kukaa ndani ya gari, gari likiwa ndani ya kivuko.
Acha uongo dereva lazima akae kwenye gari wakati linavushwa na mtoto mdogo kama huyo alikuwa na mama yake
 
Soma nilichokoandika kisha nioneshe nimeandika wapi neno "dereva" wewe ndio wale mkipewa mitihani darasani mnarukia kuufanya bila kusoma na kuelewa swali
Wewe ndo unaandika kitu usichoelewa,,mama alikuwa dereva na mtoto alikuwa abiria sasa kutokana na umri mdogo wa mtoto ilibidi avuke naye kwenye gari,,hakuna sehemu ambayo abiria wanaruhusiwa kuvuka kivukoni wakiwa ndani ya gari
 
Wewe ndo unaandika kitu usichoelewa,,mama alikuwa dereva na mtoto alikuwa abiria sasa kutokana na umri mdogo wa mtoto ilibidi avuke naye kwenye gari,,hakuna sehemu ambayo abiria wanaruhusiwa kuvuka kivukoni wakiwa ndani ya gari
Nimetaja abiria au dereva?
Nijibie haya maswali
Dereva ni nani?
Abiria ni nani?
 
Duh Poleni asee katoto kazur maskini dah, hapa Tz hairuhusiw gar kuwa na mtu ndani zaid ya dereva peke ake, ata muwe kumi,
 
Back
Top Bottom