Takribani miaka 20 ya elimu shuleni imezidiwa na miaka miwili ya mafunzo mtaani

Ngoja mimi nikomae na elimu yangu, hata kama ukijiajiri kama mungu alikuandia uwe maskini, utakuwa tu
Nafahamu ya kuwa katika Mathayo 5:3, Yesu Kristo alisema; “Heri walio maskini w roho; maana ufalme wa mbinguni ni wao.” Watu wengi wanapousoma mstari huu, wanadhani Yesu Kristo alisema “Heri walio maskini wa mahitaji ya MWILI; maana ufalme wa mbinguni ni wao.” Lakini Kristo hakusema hivyo.
Mtu maskini maana yake ni mtu mhitaji. Yesu Kristo aliposema “Heri walio maskini wa roho …….”Alikuwa ana maana ya kusema ‘Heri walio wahitaji wa mambo ya rohoni; maana ufalme wa mbinguni ni wao. Ndiyo maana aliongeza kusema, “Heri wenye njaa na kiu ya haki; maana hao watashibishwa"(Mathayo 5:6).
Mtu aliye maskini wa mambo ya mwili ni yule aliye mhitaji wa mambo ya mwili. Na mambo ya mwilini ninayoyasema ni mavazi chakula na mahali pa kulala. Yesu Kristo hakusema heri wale walio na mahitaji ya chakula, mavazi, afya na malazi.
Ninaposema mahitaji ya mwili usije ukachanganya na matendo ya mwili yaliyoandikwa katika Wagalatia 5:19-21 ambayo ni uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda na ulevi. Mimi siyazungumzii hayo ninaposem juu ya mahitaji ya mwili. Mahitaji ya mwili ninayoyasema ni mavazi, chakula, nyumba na matibabu.
 
Nimeuelewa vema huu uzi!
NITAANZA NAO JANUARY.
Somo la bule ila thamani yake ni kubwa sana
 
Ni kweli mkuu elimu ya Pesa Ndio kila kitu
 

 
Asante sana,mkuu.
 
Umenikumbusha kitabu cha rich dad, poor dad.. And think and grow rich
 
Nice article.

Ila maswala ya kusema Gari ya kutembelea haitakusaidia kwny maisha ni uongo mtupu.Wengine deals huku mtaani tunazipata sababu ya Kuaminiwa na watu kutokana na Gari tunazoendesha.
Hii inaukweli wake. Hii dunia ya Tanzania ya sasa, kuna watu wanakuamini na kukupa dili na mipango kutokana na muonekano wako ulivyo pamoja na kumiliki gari. Especially kama hiyo gari ni kubwa kama rav 4, prado, cruiser, discovery, bmw na mengineyo.
 
kuanzia mwaka 2018 udsm,entrepreneurship studies ni somo la lazima watu wote.
 
SASA MKUU, ELIMU IKIWA YA KUTAFUTA PESA TU.. MADAKTARI, WALIMU, WATAALAMU WA KILIMO, WANASAYANSI, WAHANDISI N.K TUTAWAPATA WAPI? AU WOTE TUTAWARECRUIT FRM ABROAD?
Hakuna sehemu niliyosema Elimu iwe kuhusu pesa tu
 
U
Uuzi huu uatakiwa kuuzwa.Sema we ni mtu wwa busara
 
Hii inaukweli wake. Hii dunia ya Tanzania ya sasa, kuna watu wanakuamini na kukupa dili na mipango kutokana na muonekano wako ulivyo pamoja na kumiliki gari. Especially kama hiyo gari ni kubwa kama rav 4, prado, cruiser, discovery, bmw na mengineyo.
100% umeongea ukweli mtupu.Kibongo bongo bado Magari yanaabudiwa kwny kupeana deals/michongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…