Takribani miaka 20 ya elimu shuleni imezidiwa na miaka miwili ya mafunzo mtaani

Nice article.

Ila maswala ya kusema Gari ya kutembelea haitakusaidia kwny maisha ni uongo mtupu.Wengine deals huku mtaani tunazipata sababu ya Kuaminiwa na watu kutokana na Gari tunazoendesha.
muono wako ni mdogo,tafakari tena utaelewa,gari ni liability kama haikuiingizii pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeongea bonge la point.
Na wengi huwa wanachelewa kwa kupoteza muda mwingi na kuanza kutoa lawama kwa serikali na wanasiasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenena vema mkulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…