Takribani miaka 50 iliyopita Mwalimu Nyerere alituusia kuzilinda hifadhi zetu kwa jasho na damu. Serikali inasimamia hilo

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
16,950
Reaction score
13,527
Friends and Our Enemies,

Kupitia kwa ARUSHA MANIFESTO miaka hamsini iliyopita,Rais wa kwanza wa nchi hii, Mwalimu J.K Nyerere alituusia na hapa chini nitaweka nukuu yake

Over fifty years ago, the first President of Tanzania, the late Mwalimu Julius K. Nyerere recognized the integral part wildlife plays in this country. In September 1961, at a Symposium on the Conservation of Nature and Natural Resources, he gave a speech that laid a foundation for conservation in post-independence Tanzania. The extract of that speech has become known as the Arusha Manifesto.

“The survival of our wildlife is a matter of grave concern to all of us in Africa. These wild creatures amid places they inhabit are not only important as a source of wonder and inspiration but are an integral part of our natural resources and our future livelihood and well-being.

In accepting the trusteeship of our wildlife, we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure that our children’s grandchildren will be able to enjoy this rich and precious inheritance.The conservation of wildlife and wild places calls for specialist knowledge, trained manpower, and money, and we look to other nations to cooperate with us in this important task -the success or failure of which not only affects the continent of Africa but the rest of the world as well”

Hakuna kitu chochote kibaya ambacho serikali inakifanya katika hili,na siyo kweli kwamba watu wa asili ya hifadhini wanaondolewa kwa nguvu na kunyimwa haki zao.

Hizi hifadhi ni zetu na ni urithi wetu kwa sasa na vizazi vijavyo, kama Rai ya Mwalimu J.K Nyerere hapo juu ni jukumu la serikali kuzilinda hifadhi hizi kwa maslahi mapana ya leo yetu na kesho yetu.
 
Kwanza dikteta Nyerere hafai kusikilizwa wala Kenzie mwehu Yule ndiyo chanzo cha ufukara kwa watanganyika sababu ya uongozi wake wa hovyo
 
Kama Nyerere alileta ufukara, Mwinyi, mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia watu 5 wanashindwa ama walishindwa nini kutupatia utajiri?
 
Ushauri wa Mwalim Nyerere uzingatiwe,ya kwamba kama Taifa tufanye chochote ambacho kitahakikisha uhai endelevu wa mbuga zetu kwa kizazi hiki na kijacho na vijacho.

Sasa wamasai wanatakiwa kufaham maliasili ile siyo ya kwao pekeyao.
Tushawazoea. Mkikabwa kwenye kona hua mna maneno yenu mnasemaga, mara "amani yetu itunzwe, tusije kuwa kama Libya", "mabeberu hawatupendi!!".

Hii ya mwalimu Nyerere na hifadhi ni toleo jipya. Sijui "Profesa MiaKenda na kenda" ndio ameitoa hii 🙄
 
Ewaaah...

Na ndiyo maana unaona sasa Samia anaingia UBIA na wataalam wa nje kuwekeza katika bandari ili kuleta UFANISI,pia anapambana kuzilinda HIFADHI ili vizazi vya sasa na baadae vipate kunufaika na mapato ua UTALII,anaimarisha DEMOKRASIA ili watu wachague viongoza bora wa kuongoza taifa hili,na bila shaka Inshallah kupitia yeye tunapata tuh KATIBA BORA YA KUTUTOA HAPA NA KUTUSOGEZA MBELE ZAIDI.
 
Ila ni ya Waarabu siyo.Mbona yeye hakuwahamisha na kuwapa Waarabu hilo eneo.Wamaasai wameishi na hao wanyama toka enzi na enzi
 
Usiwe bendera fuata upepo na kushabikia kelele za chadema,tujitahid kusoma...

Hii ipo kwenye Tourism investment manual 2019 - 2024.

Tujitahidi kusoma tusipende kuwa washabiki wa wanasiasa uchwara kama CHADEMA.
 
Ewaaah...

Na ndiyo maana unaona sasa Samia anaingia UBIA na wataalam wa nje kuwekeza katika bandari ili kuleta UFANISI,pia anapambana kuzilinda HIFADHI ili vizazi vya sasa na baadae vipate kunufaika na mapato ua UTALII,anaimarisha DEMOKRASIA ili watu wachague viongoza bora wa kuongoza taifa hili,na bila shaka Inshallah kupitia yeye tunapata tuh KATIBA BORA YA KUTUTOA HAPA NA KUTUSOGEZA MBELE ZAIDI.
Wataalamu wa Nje unawapa Ngorongoro wajenge hotels, kuna Jamaa alikuja kulalamika hapa kuna mbuga alienda akakuta hotels zimetapakaa mpaka akasema Wanyama wanaweza wakakimbia maana wameingiliwa kwenye makazi yao
 
Vp mbona rasilimali alizoacha husemi, ccm wamegawana kwa mikataba ya hovyo hovyo kama wameshndwa huko huku kwny hifadhi ndo wataweza zaid ya kuangalia maslahi yao tu.
 
Friends and Our Enemies,

Kupitia kwa ARUSHA MANIFESTO miaka hamsini iliyopita,Rais wa kwanza wa nchi hii,Mwalim J.K Nyerere alituusia na hapa chini nitaweka nukuu yake.

Over fifty years ago, the first President of Tanzania, the late Mwalimu Julius K. Nyerere recognized the integral part wildlife plays in this country. In September 1961, at a Symposium on the Conservation of Nature and Natural Resources, he gave a speech that laid a foundation for conservation in post-independence Tanzania. The extract of that speech has become known as the Arusha Manifesto.

The survival of our wildlife is a matter of grave concern to all of us in Africa. These wild creatures amid places they inhabit are not only important as a source of wonder and inspiration but are an integral part of our natural resources and our future livelihood and well-being.

In accepting the trusteeship of our wildlife, we solemnly declare that we will do everything in our power to make sure that our children’s grandchildren will be able to enjoy this rich and precious inheritance.The conservation of wildlife and wild places calls for specialist knowledge, trained manpower, and money, and we look to other nations to cooperate with us in this important task -the success or failure of which not only affects the continent of Africa but the rest of the world as well”

Hakuna kitu chochote kibaya ambacho serikali inakifanya katika hili,na siyo kweli kwamba watu wa asili ya hifadhini wanaondolewa kwa nguvu na kunyimwa haki zao.

Hizi hifadhi ni zetu na ni urithi wetu kwa sasa na vizazi vijavyo,kama Rai ya Mwalim J.K Nyerere hapo juu ni jukumu la serikali kuzilinda hifadhi hizi kwa maslahi mapana ya leo yetu na kesho yetu.
Kuzilinda ndio kuwauzia Waarab?
 
Ila ni ya Waarabu siyo.Mbona yeye hakuwahamisha na kuwapa Waarabu hilo eneo.Wamaasai wameishi na hao wanyama toka enzi na enzi
Wameishi na hao wanyama toka enzi na enzi sawa,ila sasa wameongezeka kiasi cha kupelekea hatari ya kutoweka kwa wanyama hao na kuharibu mazingira yao,wewe unadhani wamasai ambao walikuwapo tokea enzi za mwalimu hadi sasa idadi yao itakuwa ni ile ile??idadi ya mifugo yao itakuwa ile ile??shughuli zao za kiuchumi zitakuwa ni zile zile??

Kumbuka wao wataongezeka,ila eneo la hifadhi bado lipom vile vile tuh.
 
Kuzilinda ndio kuwauzia Waarab?
Kuzilinda ni kuwahamisha hao wakazi ambao sasa idadi yao inazid kuongezeka miaka hadi miaka huku eneo likiendelea kubakia vile vile,hili suala mbona liko wazi tuh kwanini watu hamtumiii common sense kulikubali??

Kuuziwa waaarabu,waarabu gani wameuziwa hifadhi zetu??ACHANENI NA MANENO YA HOVYO YA HAO CHADEMA.
 
Back
Top Bottom