Taksi za Mianzi Nchini Philippine nataka kuleta Bongo Mnasemaje Wakuu?

Taksi za Mianzi Nchini Philippine nataka kuleta Bongo Mnasemaje Wakuu?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
<!-- / icon and title --> <!-- message -->
tram-010.jpg

img-5223.jpg

img-5013.jpg

img-5011.jpg


img-5218.jpg



img-5010.jpg


img-5219.jpg


img-5220.jpg


img-5226.jpg


img-5014.jpg


<!-- / message --> <!-- edit note --> <hr style="color: rgb(227, 223, 181); background-color: rgb(227, 223, 181);" size="1"> Nataka Kuleta Bongo kufanya Biashara ya Taksi je nitapata Wateja wa kupanda?
 
Usijaribu, utakuja kukutana na wehu wanaoitwa dereva wa Daladala.

Insurance companies watakupiga premium hiyo utaogopa, kucover abiria watakaopanda, kwani risk ni kubwa sana kwa abiria.
 
wateja utapata... watu wanapanda bajaji itakuwa hizo?! wee leta tu au endelea na porojo!!

btw, picha zimetulia hizo.
 
<!-- / icon and title --> <!-- message -->
tram-010.jpg


img-5223.jpg

img-5013.jpg

img-5011.jpg

img-5218.jpg


img-5010.jpg

img-5219.jpg

img-5220.jpg

img-5226.jpg

img-5014.jpg



<!-- / message --><!-- edit note --><HR style="BACKGROUND-COLOR: rgb(227,223,181); COLOR: rgb(227,223,181)" SIZE=1>Nataka Kuleta Bongo kufanya Biashara ya Taksi je nitapata Wateja wa kupanda?

Chonde chonde Mzizi mkavu!
Hap tulipo tunajuta kuruhusu Bajaj na le wewe ulete hiyo mianzi yako!!!sipatakuwa hapatoshi??!!Pikipiki umeona kero zake je hizo takisi zako za mabanzi???nakushauri anzisha kitukingine!!
 
Kamanda watu watajichukulia kuti hadi kuti kigari kitabaki naked hahaa
 
umefanya tathmini ya barabara ? utaingia kwa shimo; body itavunjika yote ubaki na tairi tuu!!!

labda uko kijijini kwetu zitafaa
 
Back
Top Bottom