Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Natoa rai kwa TAKUKURU iache mara moja kuchelewesha kuwapeleka viongozi wa CHADEMA mahakamani.
Mbowe na genge lake wametafuna bil 8 na sasa wapo uraiani.
Kuna viongozi wa chama cha ushirika huko Tabora walikula mil 200 wapo gerezani mbona hawa akina Mbowe hawachukuliwi hatua?. Hii sio haki kabisa.
Justice is blind kila anayefanya kosa apate haki yake
Mchakato wa uchaguzi usiwe sababu ya kutusahaulisha.
Tunaomba wapelekwe mahakani wapewe haki yao. Bil nane sio pesa kidogo.