Unahangaika sana mtoto wa kisukuma.pole hao TAKUKURU wakamkamate kwanza aliye tafuna 1.5 trilioni ndio warudi CHADEMA.Natoa rai kwa TAKUKURU iache mara moja kuchelewesha kuwapeleka viongozi wa CHADEMA mahakamani.
Mbowe na genge lake wametafuna bil 8 na sasa wapo uraiani.
Kuna viongozi wa chama cha ushirika huko Tabora walikula mil 200 wapo gerezani mbona hawa akina Mbowe hawachukuliwi hatua?. Hii sio haki kabisa.
Justice is blind kila anayefanya kosa apate haki yake
Mchakato wa uchaguzi usiwe sababu ya kutusahaulisha.
Tunaomba wapelekwe mahakani wapewe haki yao. Bil nane sio pesa kidogo.
Kwanini unaamini hii ni porojo na ya kina Mbowe si porojo ?!Hizo ni porojo,hakuna skendo kama hiyo.
Jaduong acha kutetea uovu. Sakata ya tril 1.5 PAC walitoa majibu bungeni na kusema hakuna ufisadi uliofanyika.Kwanini unaamini hii ni porojo na ya kina Mbowe si porojo ?!
Kange Lugora yuko wapi ?Natoa rai kwa TAKUKURU iache mara moja kuchelewesha kuwapeleka viongozi wa CHADEMA mahakamani.
Mbowe na genge lake wametafuna bil 8 na sasa wapo uraiani.
Kuna viongozi wa chama cha ushirika huko Tabora walikula mil 200 wapo gerezani mbona hawa akina Mbowe hawachukuliwi hatua?. Hii sio haki kabisa.
Justice is blind kila anayefanya kosa apate haki yake
Mchakato wa uchaguzi usiwe sababu ya kutusahaulisha.
Tunaomba wapelekwe mahakani wapewe haki yao. Bil nane sio pesa kidogo.
Natoa rai kwa TAKUKURU iache mara moja kuchelewesha kuwapeleka viongozi wa CHADEMA mahakamani.
Mbowe na genge lake wametafuna bil 8 na sasa wapo uraiani.
Kuna viongozi wa chama cha ushirika huko Tabora walikula mil 200 wapo gerezani mbona hawa akina Mbowe hawachukuliwi hatua?. Hii sio haki kabisa.
Justice is blind kila anayefanya kosa apate haki yake
Mchakato wa uchaguzi usiwe sababu ya kutusahaulisha.
Tunaomba wapelekwe mahakani wapewe haki yao. Bil nane sio pesa kidogo.
Wamesamehewa kama Kangi, Andengenye na Magufuli mgawa nyumba kwa mademu zakeNatoa rai kwa TAKUKURU iache mara moja kuchelewesha kuwapeleka viongozi wa CHADEMA mahakamani.