TAKUKURU acheni double standards, viongozi wa CHADEMA wapandishwe kizimbani

Wewe ni mhuni unayependa kutukana haufai kabisa. Kama watu walifanya ufisadi sheria ifuate mkondo.
"kama",hapo ndio umeonesha kuwa wewe ni kanjanja na unapelekeshwa na hisia to!Kwa namna serikali wanavyowatafuta wapinzani mpaka kuwapima mkojo kwa kesi ya uchochezi,hizo tuhuma zingekuwa na hata chembe ya ukweli basi wangeshashughulikiwa ipasavyo!
 
Kwani hazina ukweli?
 
Usisahau wakianza na yule aliyekwapua tri 1.5.
 
Wewe ni mhuni unayependa kutukana haufai kabisa. Kama watu walifanya ufisadi sheria ifuate mkondo.
"Kama" watu walifanya ufisadi sio? Kama hawakufanya you have to shut up!
 
Jaduong acha kutetea uovu. Sakata ya tril 1.5 PAC walitoa majibu bungeni na kusema hakuna ufisadi uliofanyika.
Ya akina Mbowe Waitara alishuhudia deni hewa lilivyoundwa na kulipwa. Kwa hiyo jamaa yupo sawa kabisa kuwa Chadema kuna ufisadi.
Hizi siku mbili nilikuwa off usukumani kuchukuwa mpunga nimekuta umejibu upuuzi huu !!!. Kwa swala la trl. 1.5 u umeiamini PAC , ok fine. Lakini kwa swala la Cdm na takukuru unamwamini Waitara !, mlevi !!

Daahh ukipenda chongo utaiita kengeza [emoji120]
 
Ngoja nicheke tu jaduong. Vipi ulikuwa maeneo ya Kagongwa au?
Kwa nini Waitara nisimuamini maana kama ulevi anafanya baada kazi. Na sio kwamba ulevi wake utafanya atoe tuhuma za uongo.
 
Mhm! Mlivomshambulia hata Kama sio kweli sio kwa mapovu hayo, hamguswagi eti chadema
 
Anza na Mwenyekiti wa CCM taifa
 
Write your reply...hivi kweli cdm wanavyo tafutiwaga nogwa hivi. kama nikweli wanausika mpaka leo wangekua uraian kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…