TAKUKURU chukueni hatua tuhuma za rushwa CHADEMA

TAKUKURU chukueni hatua tuhuma za rushwa CHADEMA

Raphael Alloyce

Senior Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
128
Reaction score
372
Habari ya wakati huu wadau,

Nadhani ni wakati mhafaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambna na Rushwa kushughulika na tuhuma zilizokuwa zikienezwa na baadhi ya wagombea wakati wa uchaguzi wa ndani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kabla, wakati na baada ya uchaguzi.

Kusafisha taswira ya Taifa letu dhidi ya matendo hayo, TAKUKURU inayowajibu wakutupatia majibu iwapo hizo zilikuwa ni janja janja za kuchafuana au zilikuwa za kweli ili wananchi waelewe kwa undani taasisi hiyo (CHADEMA) iwapo inahusika au haihusiki.

Tukilea tabia kama hizo za rushwa kwenye taasisi za vyama vya siasa basi hakuna taasisi yoyote itakayo kuwa salama.

TAKUKURU muwape wananchi majibu.
 
Back
Top Bottom