Dawa ni kuwaondoa wote...Kaaaazi kweli kweli! Tatizo la rushwa ni SYSTEMIC, ie A Corrupt Regime, kwa hiyo fighting corrupt individuals, rather than the system itself, is fighting a wrong war and wastage of resources!
Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa (TAKUKURU) inawahoji watumishi kadhaa wa idara ya fedha waliohusika kuhizinisha malipo yasiyo halali ya Tsh 800,000,000/= (milioni mia nane) kwa kampuni ya aliyekuwa mkurugenzi wa TANESCO Bwana. Muhando, malipo halali yaliyostahili kulipwa ilikuwa Tsh 16,000,000/= (milioni kumi na sita) kulingana na bidhaa alizosupply.
Sina imani na Takukuru hata kidogo.
Mil 800 za wapi wakati tender yenyewe ilikuwa ya mil 147? Wabongo tunapenda longo longo, nani anaweza akatupa ushahidi kama tender ilikuwa ya mil 800?
Mil 800 za wapi wakati tender yenyewe ilikuwa ya mil 147? Wabongo tunapenda longo longo, nani anaweza akatupa ushahidi kama tender ilikuwa ya mil 800?
Mkuu sentensi ndogo tu unashindwa kuelewa, wapi pameandikwa tenda ilikuwa ya sh ml800, kilichopo nikuwa mzabuni amelipwa pesa nyingi kuliko pesa alizostahili kulipwa, na kwa kifupi wenyewe wamekili kuidhinisha malipo hayo na ushahidi upo, ndugu kama umehusika ujue umekwisha, UTAFUNGWA!