Sasa mbona hamna kesi hapo??mtu anapokeaje rushwa kwa mtwja wake waliyekubaliana malipo na bado hajakamilisha malipo?? Walotakiwa wasubiri mpaka hiyo hela akipewa huyo anayeenda kuhongwa ili apindishe Haki na si wakili anayepewa na mteja wake ili akatoe