Elections 2010 Takukuru kujipatia uraji 01/11/2010

Elections 2010 Takukuru kujipatia uraji 01/11/2010

Jethro

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
2,219
Reaction score
371
Wana JF,

Nilimsika mshikaji wangu mmoja akimwambia mtu wake wa karibu sana kuwa mume wa dada yule si wajua yuko TAKUKURU kanda Furani hapa nchini? Jamaa akasea hee nafahamu ilo sasa anafurahia kuwa baada ya uchaguzi 31/10/2010 kesho yake watakusanya pesa nyingi sana.

Nikajiuliza khaaa kwanini huyo bwana anaye fanya TAKUKURU anaseme kuwa watakuwa na pesa kuanzia 01/11/2010? mshahara ndio utakuwa umeingia au? hapana kwani wafanyakazi kama hizi TAASISI hulipwa kuanzia terehe 20 mwa kila mwezi, Nikaja kufahamu kuwa kumbe kipindi hicho ndicho kipindi cha chakachua za kura na ndipo hapo TAKUKURU watakapo wadhibiti wagombea wengi kwani TAKUKURU wanajua kupitisha magendo ya kura ndiowakati muafaka na ni lazima ujuane na wafanyakazi wa TAKUKURU na lazima uwaachie TAKRIMA mgombea hauna jinsi.

TAKUKURU nayo iundiwe tume ya kuwachunguza kazi zao(Wafanyakazi wao) kwani sie tuko mitaani ndio tunakaa anao wafanyakazi wa TAKUKURU na story wao ndio wanazileta kama hii ya kutegemea kuwa na pesa baada ya uchaguzi Mr. HOSEA una kazi hapo ndugu ukiwa winda wenzio nawe wanakuwinda unala kujibu?. Na wagombea kuweni macho msije bambikiziwa kesi maana mko mwawindwa.
 
Back
Top Bottom