nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 861
Habarini,
Ni wazi nyakati za kujuana kupitia kusoma pamoja,kabiba moja,intake moja na mengineyo umepitwa na wakati.
Takukuru ni chombo kinachohitaji mabadiliko ya kiuongozi hasa kuondoa uongozi wa kimazoea ambao ulikuwa unatoa maamuzi kwa makundi.
Ninaimani na uongozi wa juu wa sasa utafanya badiliko chanya kwa viongozi wa mazoea wenhe taaluma butu zisizo na tija hasa wanapotaka kutumia nguvu na chuki katika uongozi.
Viongozi wenye uwezo dhaifu waondolewe na ikibidi wakatumikie taaluma zao nje ya TAKUKURU katika utmishi wao wa umma.
Mkurugenzi wa sasa ni wakati wako wa kuonesha busara zako kwa kuwakataa viongozi wabovu ndani ya TKKR waondolewe wapelekwe kwingine kama ilivyofanyika kwa baadhi ya viongozi wa polisi kutoka kwa Mh Rais.
Sent using Jamii Forums mobile app