MtuHabari
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 321
- 1,019
Hawawezi kukwepa kuwa sakata la Kariakoo lisinge fika hapo lilipo kama wange wajibika.
Kulipo undwa Kikosi kazi (Task force) cha TRA kufuatilia kodi Kariakoo ndipo mianya ya rushwa ikapamba moto na vijana waliopewa jukumu hilo ndio wakaona ni nafasi ya kukandamiza wafanyabiashara kujitajirisha.
Hivi PCCCB hawawezi kuona jinsi vijana wa TRA walivyo mamilionea/bilionea ndani ya ajira zao muda mfupi?
Yaani TAKUKURU ni watu wa kukaa ofisini kusubiri taarifa wakati mambo yako wazi?
Au nao wako kwenye migawo ya rushwa hizo wanazowakamua wafanyabiashara?
Hao watu wanafanya biashara kwa bidii kubwa na kuwafanya kisima cha kukusanya hela za kwenda mifukoni sio sawa ndio migomo hii inatokea.
Takukuru mnahusika kuhujumu uchumi kwa kukosa weledi.