TAKUKURU Mkoani Mara yakamata vitambulisho hewa vilivyokuwa vimeandaliwa kupiga kura uchaguzi wa Ubunge Viti Maalum

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Mara imekamata vitambulisho hewa vilivyokuwa vimeandaliwa kupiga kura za maruhan katika uchaguzi wa ubunge viti maalum mkoani humo.


 
Niko tayari kushangaa kitu chochote hata ambacho hakishangazi lakini siyo kushangaa matendo maovu ya CCM.
 
Hiyo si habari. Kumkuta samaki kwenye maji si habari
 
πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ˜ΆπŸ€¨πŸ˜‘πŸ˜‘
 
Tembo kuishi mikumi haishangazi... Chui kuishi serengeti si ajabu... gari kuokuta gereji si ajabu... gari kuikuta imepaki si ajabu... mgonjwa kumkuta hospitali si ajabu... matunda kuyaluta sokoni si ajabu... etc.. HAYO YOTE SI AJABU KAMA ILIVYO SI AJABU KUIKUTA CCM kwenye jambo tajwa
 
Inatia Kinyaa😏😏😐😢😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…