Nimesoma gazeti la leo la Mwananchi Juni 1, 2024 ukurasa wa mbele lina kichwa kisemacho, Bajeti ya Ujenzi Mnyukano hoja ya Mdee na Mawaziri watatu kuhusu mikataba iliyosainiwa na Profesa Makame Mbarawe ya kujenga barabara kilomita 2,035 kwa kiwango cha lami kwa utaratibu wa EPC+F.
Mbunge wa Konde Mohamed Issa katika mchango wake alisema iwapo Serikali inakwenda kutafuta fedha badala ya mkandarasi chini ya EPC+F haioni kwamba hapo kuna suala la rushwa ambalo linafaa kuchunguzwa?
Lakini hadi Bunge linahitimishwa licha ya mawaziri Mwigulu Nchemba, Innocent Bashungwa na Profesa Makame Mbarawa kujaribu kujitetea bungeni hawakuweza kueleza sababu za kuacha utaratibu wa kawaida na kwenda kwenye EPC+F ambayo inaonekana kuna dili limechezwa baina ya mawaziri hao na Kampuni ya Kichina ya CCECC na wabia wake kuiingiza hasara nchi ya Trilioni 3.7
Spika wa Bunge alishindwa kulielewa suala hili hadi bunge linahitimishwa ameshindwa kutoa mweongozo wowote kwa mawaziri waliohusika na kashfa hiyo.
TAKUKURU hadi sasa mnasubiri nini kuwachunguza Prof. Mbarawa, Mwigulu Nchemba na hao Kampuni ya CCECC kuhusu tuhuma za rushwa kwenye mikataba ya EPC+F? na Spika wa Bunge nayo napendekeza achunguzwe na TAKUKURU kwanini alishindwa kulihandle suala hili wakati anaendesha kikao cha Bunge licha ya ukweli kuonekana bayana kwamba kuna harufu ya rushwa.