Uchaguzi 2020 TAKUKURU mnazuia ubwabwa mnawaacha wasanii?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Jana PCCB wamepiga marufuku mgombea wa chauma kutumia UBWABWA kwenye kampeini zake.

Mzee Rungwe amekuwa anasema yeye atatumia UBWABWA kwenye kampeni zake kama CCM inavyowatumia wasanii kwenye kampeni zake.

Hapa ndipo maswali mengi yanapo jitokeza kwa wapenda haki hapa nchini. Hapa kuna double standard.

CCM kuwatumia WASANII ni moja ya kuwavuta watu waende kwenye mikutano yao hivyo nayo ni rushwa tuuu, TAKUKURU wanashindwa nini kuwastopisha CCM kuwatumia WASANII? Maana yote ni rushwa tu.

Tanzania bila CCM inawezekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah wengine wanatumia majeraha kupata kura za huruma
 
Wametuaribia mchongo, tukale wapi Sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
inafikirisha!
 
Kwani wasanii ni rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…