Uchaguzi 2020 TAKUKURU mnazuia ubwabwa mnawaacha wasanii?

TAKUKURU acheni usanii, wale wagombea ubunge kupitia CCM mliokuwa na taarifa zao za kutoa rushwa mlisema mnalirudisha kwenye chama wamalizane wenyewe kwa wenyewe, Sasa kwa nini mnaingilia kampeni ya mzee Rungwe?

Sera ya Rungwe ni watu wale washibe!
 
Wewe mbwiga wa bavicha sheria ya rushwa haibagui mgombea urais wala mgombea ubunge au udiwani!

Mwambie Mbowe aweke mbege kwenye mkutano wake pale Machame aone kama Takukuru watamuacha kwa sababu yeye siyo Rungwe!
Huu uzi nimeupandisha mimi kwa makusudi ya kuzunguzia wagombea wa nafasi ya urais, punguza mapepo yako hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TAKUKURU acheni usanii, wale wagombea ubunge kupitia CCM mliokuwa na taarifa zao za kutoa rushwa mlisema mnalirudisha kwenye chama wamalizane wenyewe kwa wenyewe, Sasa kwa nini mnaingilia kampeni ya mzee Rungwe?

Sera ya Rungwe ni watu wale washibe!
Wanatia hasira sana hawa makada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaona aibu nchi ya kipato cha kati wananchi wake kukusanywa kwasababu ya ubwabwa nyama
 
Mlivyo mmiminia risasi kama vile mnamuua simba mla watu hamkujua kuwa zinge muwachia majeraha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Vikao vya shetani vikiongozwa na Malkia mkuu wao vinajadili ilikuwaje risasi 16 hazikumuua?

Alipo Mungu ya shetani hushindwa. Bible ina miujiza Mingi sana. Kuna watu walitupwa kwenye tanuli za moto hawakufa. Wengine kwa kundi la simba lakini walibaki salama.

Salamu zimfikie malkia mkuu wa sheitwani.
 
Hakika hawa jamaa hawana tofauti kabisa na masheitwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni double standards, watu wamepata nafasi ya kuangalia show ya Konde boy bure mnawanyima nafasi ya kula ubwabwa.
Na hongo ya ajira 13000 za walimu na manesi na madokta alizotangaza magufuli juzi akiwa maswa tuziiteje? Why today? Alikuwa wapi mpaka atangaze ajira wakati wa kampeni? Malofa nyie. Tena malofa kweli.
 
Kwao wale wanaoimba kwenye mikutano yenu huwa ni wakulima au ni wasanii?
 
hiyo nimipango ya serikari kwa hiyo unataka shughuli zisimame mpaka akishinda?
Kwani wagombea wanapotoa ahadi ya kufanya jambao sio rushwa?
 
Kati ya mahitaji matatu ya misingi( basic human needs) chakula(Ubwabwa)ni jambo la kwanza sasa najiuliza TAKUKURU ujasiri wa kumnyima mtu chakula wanatoa wapi?
 
Sasa hizi kachumbali na ndizi sukari itakuwaje? Na kiangazi hiki chips dume tutapata wapi?
 
Kwao wale wanaoimba kwenye mikutano yenu huwa ni wakulima au ni wasanii?
Cdm haina haja ya kuwatumia wasanii maana neno cdm tu linatosha kuwashawishi wananchi kutoka majumbani mwao kwenda kumsikiliza rais wao ajaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…