mapambanodaima
Senior Member
- Oct 22, 2012
- 108
- 15
Mkuu wa chuo cha ualimu kinampanda wilayani Iramba mkoani Singida aliyevuliwa madaraka na Naibu Waziri wa Elimu anatisha kwa ufisadi japo amekuwa mkuu wa chuo tangu mwaka 2008 yaani ni miaka mitano tu ana miliki mali zifuatazo. Amenunua nyumba Singida mjini yenye thamani ya milioni 40, ana gari ndogo mbili aina ya Rav4, amewekeza kwenye biashara mjini isiyopungua mil.50.
Maswali ya kujiuliza hiyo ni miaka mitano tu kazipata wapi hizo pesa? Takukuru mmepata kazi fanyeni uchunguzi wa akaunti zake. Tunajua biashara kubwa ni udahili wa wanafunzi maana amekuwa akiuza nafasi za kuingia chuo kwa sh.400000 na zaidi huku akiwapa wazabuni kazi ya kuzikusanya na kumwekea kwenye akaunti yake na yeye kupelekewa majina tu na viambatanisho ili awaite. Uozo huu hauko kinampanda tu bali upo karibu vyuo vyote vya ualimu