Chief Ortambo Ikumenye
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 247
- 503
Wakuu nimetimba hapa Duce aisee ni aibu. Kuna mazingira yote ya urasimu unaendelea kwenye interview zilizofanyika jana.
Tulitegemea matokeo yawekwe kwenye sekretarieti ya ajira lakini haikuwa hivo.
Nimefika hapa asubuhi naambiwa eti waliofaulu walipigiwa simu.
Mpaka sasa hatujui waliopiga simu ni kina nani?
Waliopigiwa walifaulu kwa maksi ngapi?
Tumeenda kwenye ofisi ya HR wanatujibu kwa dharau, eti kaa hujapigiwa simu ujue hujafaulu.
Yaani kuna mazingira yote ya rushwa ambayo sikutegemea kwenye chapa ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam.
Nimemuuliza mmoja wa wafanyakazi wa hapa wanasema eti kuna mkanganyiko ulitokea jana.
Yaani ni aibu sana, tunaomba utumishi muingilie hili suala na takukuru mfanye uchunguzi. Hapa kuna mazingira ya rushwa kabisa wazi wazi. Ni kwanini utaratibu uvunjwe?
Kwanini vyuo vingine utaratibu umekuwa wazi na unaoeleweka? Kwanini Duce kumekuwa na mambo ya kipuuzi kiasi hiki.
Naombeni waungwana huu uzi upewe uzito tukemee kinachotokea DUCE kwa sasa.