Wilaya Uyui kumekuwa na kasumba moja ambayo nahisi TAKUKURU wapo likizo. Kumekuwa na kasumba kubwa katika ukaguzi wa majengo yao ambapo yaliyokamilika ambapo ambayo wanakuandikia mapungufu yaliopo katika ujenzi wako wenyewe wanaziita hoja.
Katika kujibu hoja hizo hili jengo lako lipokelewe na halmashauri kumekuwa na utaratibu wakutoa Tsh. 500,000 kwa kila hoja ili jengo lako lipokelewe na lianze kutumika.
Ikumbukwe hakuna kitu kinachofanyika bila ushikishwaji wa halmashauri. Sasa majengo yanajengwa wanayakaata halafu baadae wanaaanza kuombana rushwa tunaomba kama serikali ipo, TAKUKURU ilifanyie kazi.