GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni kwanini katika kila 'Vibanda' ambavyo Askari Barabarani (Traffic Police) huwa wanakaa kuna 'Mlundikano' mkubwa sana wa Magazeti na cha Kushangaza karibia yote utakuta yana zile 'Pini' bado hazijatolewa halafu na hata Wao wenyewe huwa hawana muda wa 'Kuyasoma' ila wanapenda tu kuwa nayo humo 'Vibandani' mwao?