Freightliner
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 720
- 527
Shule ya jiji la Mbeya iliyoko Mwanjelwa imetawaliwa na rushwa sana kipindi hiki ambacho watoto wanajindaa na kufanya usaili.
Yaani mwalimu anakuambia kabisa ili mwanao apate nafasi nipe laki tano (500,000) bila hata kupepesa macho anasema hayo.
Na anakwambia tuko wengi pale so tunahitaji pesa hiyo na pia hata ukitoa, mwanao kuna uwezekano wa kupata nafasi au asipate kabisa na kama kawaida
rushwa haidaiwi.
TAKUKURU kuweni makini pale na mfuatilie. Ni amri sio ombi.