Freightliner
JF-Expert Member
- Aug 22, 2013
- 720
- 527
Hizo shule za masista wanaingiaje?Nursery rushwa? Ni private?pelekeni watoto wenu shule za masista!kule hakuna rushwa!
Nijuavyo ni shule ya serikali, imejengwa eneo lilikuwa likiitwa soko la wakulima makunguru!Bado sijaelewa ni shule ya serikali au binafsi?
Hapana ni shule ya serikali lakini English mediumKwani hiyo Mkapa ndio St. Francis?
Hata dar Olympio na Bunge ni hivyo hivyo rushwa kwa sana.Hapana ni shule ya serikali lakini English medium
Ikisema mtapeleka watoto zenu Huko mkawajazeHata dar Olympio na Bunge ni hivyo hivyo rushwa kwa sana.
Halafu kwa nini serikali huwa haithubutu kusema kuwa ina shule za msingi za english medium??????????arusha ipo pia
Arusha zipo mbili kwa sasa na zote mpaka utoe rushwa ndio upate nafasi.Hata dar Olympio na Bunge ni hivyo hivyo rushwa kwa sana.
Halafu kwa nini serikali huwa haithubutu kusema kuwa ina shule za msingi za english medium??????????arusha ipo pia
Mbeya Asili ya Digrii 4Mkuu hyo shule umeifuatilia ufaulu wake Mbona ya Kawaida sana inashindana na shule za serikal kama darasa lina Watoto 200 na wanaopata wastani wa A ni 13 na wanaobaki wana pata B hyo Haina tofauti na St Kayumba labda utofaut wa malezi na lugha tu
Hiyo Olympio mbona kawaida Sana?Hata dar Olympio na Bunge ni hivyo hivyo rushwa kwa sana.
Halafu kwa nini serikali huwa haithubutu kusema kuwa ina shule za msingi za english medium??????????arusha ipo pia