Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa ndipo upinzani unapopoteza credibilityKutenganisha Rushwa na hicho chama ni sawa na kutenganisha mwili na roho
Wanafanya tu kama jiwe anavyowaamuru kufanya, huyu kamata,... yule acha..., huyu simpendi fungulia kesi ya rushwa.....yule mnakamatia nini nitawatumbua!....Takukuru inaonyesha wamejipanga Sana mwaka huu.