TAKUKURU Shinyanga inamshikilia Asha Mwandu Makwaiya ambaye ni Mjumbe wa CCM Mkutano Mkuu taifa kwa kosa la kutoa rushwa kwa Wajumbe wa (UWT)

CCM ni ile ile, rushwa ndiyo kwao.
 
Takukuru inaonyesha wamejipanga Sana mwaka huu.
Wanafanya tu kama jiwe anavyowaamuru kufanya, huyu kamata,... yule acha..., huyu simpendi fungulia kesi ya rushwa.....yule mnakamatia nini nitawatumbua!....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…