TAKUKURU Temeke yamdaka Humphrey Mhagama, afisa wa TRA mkoa wa Temeke kwa kuomba rushwa ya laki tano

Ahsante TAKUKURU kwa kazi nzuri, kweli sasa mmeamua kupambana na Rushwa, kwa mwendo huu hakika mtatokomeza kabisaa huu ugonjwa.

wapo wengi sana wekeni tu mitego ya kutosha naamini kila siku mtawavua kama samaki. lkn mwisho wa siku tutamaliza kabisa hii kero ya Rushwa.

Rushwa ni adui na kero ya haki, tuoambane, tutoe taarifa.
 
Duh rushwa ndg ndg msala wake huwa mkubwa

Ova
 
Alhamisi Mei 23, 2021.

Huyu Boss alikuwa na haraka gani ya kusaini hii barua bila hata editing utadhani Mhagama kamchukulia mchepuko wake! Ona sasa barua inaenda hewani na kasoro ya kiuandishi.
vijisamaki ndio vinakamatwa.......papa, nyangumi kina kirefu.....hii nchi hii
 
Mnawakamata sana tuuu lakini mwisho wake cjui kesi huishia wapi maana hajawahi sijia "Takukuru family" kafungwa naona mtakua mnalindana tuu!!! Mfano yule wa Tanga Hilton Njau afisa wenu kesi iliishaje!???
Kuna mwingine alikamatwa na rushwa tena mwanamke akiwakituo cha mafuta iliishua wapi!??
Vipi yule wa milion hamsini!??
 
Yani angekua Tanga angeinjoi maisha atakavyo
Atakaye akaribie Tanga. Kuna magwiji ya rushwa na wanapandishwa vyeo na wanaopinga rushwa wanafukuzwa kazi au kutishiwa maisha
Takukuru wananunulika kirahisi mnooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…