Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Temeke, imemkamata na kumhoji Mwananchi aitwaye Habibu Mchange, ambaye ni mwanachama wa chama cha mapinduzi CCM, kwa tuhuma za rushwa ambapo wameeleza ni miongoni mwa watia nia ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Kigamboni.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025