Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
rushwa ni adui wa haki, rushwa ni dhuluma kwa wanyonge,Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Temeke, imemkamata na kumhoji Mwananchi aitwaye Habibu Mchange, ambaye ni mwanachama wa chama cha mapinduzi CCM, kwa tuhuma za rushwa ambapo wameeleza ni miongoni mwa watia nia ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Kigamboni.
Hiyo rushwa kubwa ya kugawa majiko ya gesi bure yakiwa na picha ya mgombea nayo ni rushwa.rushwa ni adui wa haki, rushwa ni dhuluma kwa wanyonge,
ikithibitika pasina shaka,
basi ni muhimu sana hatua kali za kisheria zikachukuliwa dhidi yake ili iwe fundisho kwa watoa rushwa wengine π
Kutia Nia ni kosa la kisheria? Kuna ushahidi Gani kwa yeye kuonyesha kutia nia?Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Temeke, imemkamata na kumhoji Mwananchi aitwaye Habibu Mchange, ambaye ni mwanachama wa chama cha mapinduzi CCM, kwa tuhuma za rushwa ambapo wameeleza ni miongoni mwa watia nia ya kugombea nafasi ya ubunge jimbo la Kigamboni.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Watia nia wenzake wamemfanyia zengweπKutia Nia ni kosa la kisheria? Kuna ushahidi Gani kwa yeye kuonyesha kutia nia?
Mama Shally Kule Kilimanjaro,kagawa sukari,mkoa mzima Kwa wajumbe,Takukuru,imepiga kimya,hilo hamkuliona? Au Kilimanjaro ni Kenya?
Hata JPM walimfanyia Hilo Hilo.Watia nia wenzake wamemfanyia zengweπ
gentleman,Hiyo rushwa kubwa ya kugawa majiko ya gesi bure yakiwa na picha ya mgombea nayo ni rushwa.
Hii inaitwa nini?gentleman,
nadhani huna uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya masuala ya rushwa right?π
ni muhimu zaidi akaulizwa Askofu Mkuu wa kanisa la chadema gentleman maana ndie kiongozi wa upotoshaji wa kuaminika ndani ya chama hicho πHii inaitwa nini?
ni muhimu zaidi akaulizwa Askofu Mkuu wa kanisa la chadema gentleman maana ndie kiongozi wa upotoshaji wa kuaminika ndani ya chama hicho π
Angekuwepo anayeelewa ni wazi zisinhekuwepo kesi za rushwa, mpaka uajiriwe Takukuru utakuwa umejifunza aina za rushwa, kesi zinahusu tafsiri zake tu kati ya wewe unayeijua na mimi nisiyeijua.gentleman,
nadhani huna uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya masuala ya rushwa right?π
Relax bas gentleman,Angekuwepo anayeelewa ni wazi zisinhekuwepo kesi za rushwa, mpaka uajiriwe Takukuru utakuwa umejifunza aina za rushwa, kesi zinahusu tafsiri zake tu kati ya wewe unayeijua na mimi nisiyeijua.