Ingefaa TAKUKURU kama taasisi ya umma. Kutangaza hadharani ni kesi ngapi mpaka sasa wameshinda huko Mahakamani? Pia kuna ugumu mkawa na social media account watu wafichue maovu kwa kuwatumia taarifa zikiwemo picha/video clips za wala rushwa? Anzeni na Mortuary Muhimbili.