Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Nakumbuka kati ya mwaka 2017 au 2018,Zitto aliibua tuhuma kuhusu machimbo ya madini ya chuma ya Leganga na Mchuchuma tuhuma ambazo zilipelekea aitwe TAKUKURU kwa mahojiano, ila tangu ahojiwe hatujawahi kupewa mrejesho.
Cha kujiuliza hapa ni je,kama tuhuma zile zingekuwa za uongo, Zitto angeachwa kushitakiwa kwa kuchafua watu?
TAKUKURU tunaomba mrejesho wa uchunguzi wenu kabla ya kuendelea na mambo mengine.
Cha kujiuliza hapa ni je,kama tuhuma zile zingekuwa za uongo, Zitto angeachwa kushitakiwa kwa kuchafua watu?
TAKUKURU tunaomba mrejesho wa uchunguzi wenu kabla ya kuendelea na mambo mengine.